بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ Kwa Jina La Mwenyezi Mungu, Mwingi Wa Rehema, Mwenye Kurehemu. |
112:1
قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ
*Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
*Say, ‘He is God, the One.
|
112:2
اللَّهُ الصَّمَدُ
*Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
*God is the All-embracing.
|
112:3
لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ
*Hakuzaa wala hakuzaliwa.
*He neither bore, nor was born,
|
112:4
وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدٌ
*Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
*nor has He any equal.’
|